BengalCat

Tarehe 8 ya Juni 2021. Wamezaliwa watoto wanne wa Laika, wote wana afya, Laika anawalea vizuri. paka wa kibengali

Laika kiscicáit 2021. júniusra várjuk.         bengáli macska

Cheko kiscicáit 2021. április végére várjuk.         bengáli macska

Vixen kiscicáit 2021. február végére várjuk.         bengáli macska

bengáli cica karácsony

Tunawatakia kila mgeni wetu mpendwa Krisimasi Njema na kila la heri katika Mwaka Mpya! Gosztonyi Fanni, Dóri na paka wa kibengali paka wa kibengali

Cheko kiscicáit 2020. július végére várjuk.         bengáli macska

Tulipoanza kufuga paka wa aina ya kibengali katika mwaka wa 2014, tumejulia kwamba kwenye ufugaji wa Griffes de Feu iliyoko katika Ufaransa, wanalea paka wanaofanana na asili yao wanaoishi msituni yaani paka mwitu. Tuliweka mpango kuwa siku moja tutaleta mnyama mmoja kutoka huko. Mwishowe ndoto yetu imetimika na kwa ajili ya Nathalie Chiesa tumefanikiwa kumpata […]

Neno la Laika kwa mgha ya kiswahili linamaanisha manyoya laini. Tumemwita hivi kwa sababu tangu azaliwe ni laini zaidi kwa hivyo tunampapasa sana. Tamasha ya kwanza tumeamua kuwa atabaki nasi vile siku mzima amelala kwenye mapaja ya binti wangu bila kumwacha. Laika anapenda sana kazi y anyumba. Baada ya kula, anaramba sahani kisha kuzikwagura. Anatembea […]