Bengáli macska

bengáli macska fedeztetés

Tunatarajia watoto wa Bella katika Januari 2016.           paka wa kibengali

bengáli macska gyönyörű rozettás

Vixen ni tofauti kabisa na Bella. Tukimwangalia tu kidogo mara moja anaonyesha furaha yake akikoroma. Anangoja na hamu na ghamu apapaswe. Hata anatuzuia kutembea haraka vile daima anazunguka kati ya miguu yetu. Anapenda mno kubebwa, kukwaruzwa ama kupapaswa. Ni mpole, mgeni akikuja Vixen anakimbia kwa sebule kumsalimia. Kama hatuna wakati wa kumshughulikia anatuita kwa kilio […]

szép bengáli macska

Yeye ndiye paka wetu wa kwanza wa aina ya kibengali. Kwa sababu yake tumekuja kujua tabia nzuri ya aina hii yenye kuvutia. Anafurahi sana akicheza, kama kufukuzana, kucheza na mpira, kujificha. Yeye hakika ni mwindaji bora, akiwa nje kwenye kiwanja chake anawafuata kuku kwa muda mrefu, ama anaruka juu ya mbwa kutoka bustani. Tangu anaishi […]

vadász bengáli macska

Watu wengi wanaustaajabu urembo maalum wa paka aina hii, mwendo wake maridadi, uzuri wa manyoya yake yaliong’ara kama hariri. Lakini tahadhari, huyu paka kweli ni paka wa porini. Kwa hivyo kama unataka paka wako awe tu pambo la nyumba yako, baadaye unaweza kujuta. Paka wa kibengali ni waerevu na watukutu, wanahitaji kushughulikiwa. Wanafurahikia kukimbia mchana […]

bengáli leopárdmacska

Nia ya wafugaji ilikuwa kwamba paka huyu afanane na paka wa porini, lakini awe mpole anayependeka. Inaonekana wamefaulu, kwa sababu hawa paka wanapendeka kweli. Paka wa aina ya kibengali wa siku hizi wamezaliwa mwanzo wa 1980 Amerikani. Wafugaji wamekutanisha chui ya Asia (Felis Bengalensis) na paka wa nyumbani. Hawa vipaka waliitwa F-1, na walikuwa waoga sana, […]