Paka wa kibengali

bengáli kiscicák

Maadamu ufugaji wetu si mkubwa sana, tuna wakati wa kutosha kushughulikia na paka wadogo. Mara kwa mara tunawabeba na kuwapapasa, kuwachezesha. Nia yetu kwamba paka wale wanaingia kwa nyumba yao mpya wakubaliwe na kupendwa haraka kutokana na urembo na ukoo wao kamili, vilevile na tabia yao nzuri na ya upole. Paka wetu tuliowafuga wanaangaliwa daima […]

aranyos bengáli

Binti yangu, Dóra alikuwa akiwaza kuhusu ufugaji wa paka uitwayo MirrMurr. Nyanya yake alimzawadia Dóra paka wake wa kwanza, anayeitwa Bella, baada ya kufuzu shuleni. Vile tumefahamu tabia ya kuvutia ya paka wa aina hii, hatujafikiria kwa muda mrefu, tulitafuta paka kadhaa wa kike na kuamua kuwafuga. Paka wa kike wanasikilizana vizuri, wamemiliki nyumba mzima […]

vadász bengáli macska

Watu wengi wanaustaajabu urembo maalum wa paka aina hii, mwendo wake maridadi, uzuri wa manyoya yake yaliong’ara kama hariri. Lakini tahadhari, huyu paka kweli ni paka wa porini. Kwa hivyo kama unataka paka wako awe tu pambo la nyumba yako, baadaye unaweza kujuta. Paka wa kibengali ni waerevu na watukutu, wanahitaji kushughulikiwa. Wanafurahikia kukimbia mchana […]

bengáli leopárdmacska

Nia ya wafugaji ilikuwa kwamba paka huyu afanane na paka wa porini, lakini awe mpole anayependeka. Inaonekana wamefaulu, kwa sababu hawa paka wanapendeka kweli. Paka wa aina ya kibengali wa siku hizi wamezaliwa mwanzo wa 1980 Amerikani. Wafugaji wamekutanisha chui ya Asia (Felis Bengalensis) na paka wa nyumbani. Hawa vipaka waliitwa F-1, na walikuwa waoga sana, […]