Paka wetu

Tulipoanza kufuga paka wa aina ya kibengali katika mwaka wa 2014, tumejulia kwamba kwenye ufugaji wa Griffes de Feu iliyoko katika Ufaransa, wanalea paka wanaofanana na asili yao wanaoishi msituni yaani paka mwitu. Tuliweka mpango kuwa siku moja tutaleta mnyama mmoja kutoka huko. Mwishowe ndoto yetu imetimika na kwa ajili ya Nathalie Chiesa tumefanikiwa kumpata […]

Neno la Laika kwa mgha ya kiswahili linamaanisha manyoya laini. Tumemwita hivi kwa sababu tangu azaliwe ni laini zaidi kwa hivyo tunampapasa sana. Tamasha ya kwanza tumeamua kuwa atabaki nasi vile siku mzima amelala kwenye mapaja ya binti wangu bila kumwacha. Laika anapenda sana kazi y anyumba. Baada ya kula, anaramba sahani kisha kuzikwagura. Anatembea […]

fiatal szív rozettás bengáli kislány macska

Waridi ni paka ya kumbo la “C”, mwenye utepe wa urujuani. Baada ya kuzaliwa kwake amepata mwenyewe haraka sana, nimekubali kuwa huyo kijirembo hatabaki na sisi. Lakini baada ya wiki moja amerudi kwetu. Nilipomwona, nilijua, sitaweza tena kumwachilia. Hata sianzi kutaja tabia zake zote za kuvutia, kwa sababu natia familia yangu wazimu. Pedigree: Baba yake: WCH. Bengalivo […]

szép rozettás bengáli kandúr

Baada ya kufikiria na kuzingatia kwa muda mrefu tukaamua kufuga paka wa kiume. Napoleon ameiweza mioyo yetu mara moja na tabia yake ya kupendeza na upole. Tunatumaini kuwa hivi karibuni paka wetu wa kike watahisi vilevile. Pedigree: Baba yake: Columbiariver Lucky                  Mama yake: Sevenheaven Flora           Afya: FIV, FeLV negative HCM […]

bengáli macska kedves rozettás

Huyu paka mdogo mtukutu anatustaajabisha tangu kuzaliwa kwake na manyoya yake meusi na meupe na pua yake nyeusi. Carmen anapenda sana kucheza na anataka kujua kuhusu kila kitu kinacho karibu na yeye. Mchezo wake mpendwa ni kupanda juu ya kabati na kuangalia manyoya ya ndege yaliyokusanywa na binti yangu, ama kumwaga maji yake kutoka bakuli, […]

bengáli macska gyönyörű rozettás

Vixen ni tofauti kabisa na Bella. Tukimwangalia tu kidogo mara moja anaonyesha furaha yake akikoroma. Anangoja na hamu na ghamu apapaswe. Hata anatuzuia kutembea haraka vile daima anazunguka kati ya miguu yetu. Anapenda mno kubebwa, kukwaruzwa ama kupapaswa. Ni mpole, mgeni akikuja Vixen anakimbia kwa sebule kumsalimia. Kama hatuna wakati wa kumshughulikia anatuita kwa kilio […]

szép bengáli macska

Yeye ndiye paka wetu wa kwanza wa aina ya kibengali. Kwa sababu yake tumekuja kujua tabia nzuri ya aina hii yenye kuvutia. Anafurahi sana akicheza, kama kufukuzana, kucheza na mpira, kujificha. Yeye hakika ni mwindaji bora, akiwa nje kwenye kiwanja chake anawafuata kuku kwa muda mrefu, ama anaruka juu ya mbwa kutoka bustani. Tangu anaishi […]