Sevenheaven Vixen, dhahabu bahameli

bengáli macska gyönyörű rozettás

Vixen ni tofauti kabisa na Bella. Tukimwangalia tu kidogo mara moja anaonyesha furaha yake akikoroma. Anangoja na hamu na ghamu apapaswe. Hata anatuzuia kutembea haraka vile daima anazunguka kati ya miguu yetu. Anapenda mno kubebwa, kukwaruzwa ama kupapaswa. Ni mpole, mgeni akikuja Vixen anakimbia kwa sebule kumsalimia. Kama hatuna wakati wa kumshughulikia anatuita kwa kilio kikali cha huzuni. Kama binti yangu anasoma, Vixen lazima alalie kitabu chake juu ya meza.


Pedigree:


Baba yake: The Realms of SevenHeaven                        Mama yake: SevenHeaven Juicy Berry

bengáli nőstény apja                      bengáli nőstény anyja


Afya:

FIV, FeLV negative

HCM negative (2018)

PRA-b N/N

PKDef N/K


paka wa kibengali

Paka wetu, Paka wa kike , , , fanni

Írta: